h120
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,544
- 3,361
Najua title inavutia na wengi watajua ni download link au crack imetoka.. Nope!!!
Wengi tuna mazoea ya kungoja cracks au reloaded version za hizi AAA games, ila kwa EA na denuvo naona wamekaza kaza mpaka leo 16 na 17 hamna crack inayoeleweka.
Binafsi niliangika na fifa 16 na ile bypass ya turk dm ila walishaziba mianya, ikabidi niwe mpole, nimetafuta alternative, ingawa ni ya malipo halali, kuna njia 2 za kupata hizo title kwa bei nafuu
1. Kununua Existing origin account yenye hiyo game
2.Kununua Fifa 16/17 origin redeem key
Njia ya kwanza mtu alinunua redeem key akachoka hilo game na kuamua kuuza account yake, njia ya pili ni kununua key mpya ambayo utaiweka kwenye origin ac ni kama unaingiza voucher then game litakuwa tayari lipo kwenye account yako na utaweza kulicheza popote.
Gharama.
online stores nyingi bei zinaanzia $35(discounted)-$99 Tsh 78,225/= - 221,265/=
Njia za kupata kwa bei nafuu ni kupitia ebay
Zipo account zinauzwa kuanzia $13-$25 inategemea na muuzaji, nyingi huwa ni bids(kama mnada mwenye dau kubwa huchukua)
Muhimu kuangalia ni feedback kutoka kwa buyers, kama +++++ ni nyingi basi shaka hamna.
Bids offers ni nzuri zaidi kwasababu unaweza pata kwa bei ya chini zaidi inategemea na ushindani wa bidders.
Nilinunua origin ac ikiwa na Fifa 17 kwa $14. ambayo ni sawa na 31,290/= account details zote nilibadili nikaweka zangu kwa hiyo ipo mikononi mwangu.
Faida ni kama una internet nzuri basi unaweza cheza online na wadau wengine, pia updates zote za squad na za game husika zinajimimina zenyewe we ni kuwa tu na bando la kutosha.
Maelekezo ya origin
Kama ukitaka kupakua demo ya fifa 16/17 au games nyingine za EA lazima uwe na origin account, na pia uta install client software kwenye PC yako, na kama umenunua account yenye game unachotakiwa ni kubadili details zote za account kuwa zako, na kisha uta-login kwenye client software then utaona games zilizopo kwenye hiyo account husika, ila nilazima uzipakue kwenye computer yako ili uweze kuzicheza, kwa fifa 17 unahitaji GB za kutosha 25GB-35G inaweza kuzidi pia kutegemeena na updates.
***Hii ni mahususi kwa wale waliochoka kungoja cracks****