FIFA 14 naitoa Bureee, anayeihitaji tuwasiliane.

FIFA 14 naitoa Bureee, anayeihitaji tuwasiliane.

asee nna a friend in Mwz the guy ametafuta mbabe to the point of going around the game stops and offering money to anyone who can beat him and none has been able to beat him. In Dar i also have a guy ni un beaten and looking badly for a worthy opponent. Where do u hang around the most? U guys must meet up!!

kaka kama huyo jamaa yako yupo fb mwambie anicheki,au njoo chemba nitupie na. Yake nichonge nae dar ndogo popote pale tunaweza kukutana hakuna mahali pasipofika hapa ni vitendo dhidi ya maneno.
 
acha kuntisha wewweee nmekutana na wa2 km wewe eti anacheza online na wakali wa fifa abroad...nikambamiza cnaga huruma mm...nakupa mechi 3 ukitoa draw moja we kidume

hapa unaponiona naenda mbagala kuna mtu amemiss kipondo changu mi huwa naweka ahadi nikikufunga chini ya tatu umeshinda mechi.so acha maneno mengi unaweza nifuate chemba tubadilishane contacts nije nikuzabue.mpk utakaporidhika
 
ha ha ha ha Jamaa una mikwara wewe.
vitendo dhidi ya maneno unaweza njoo chemba tupange,nimecheza player career mtu wangu Mndengereko ana general perfomance ya 85 we utacheza miaka mia hugusi hiyo na msimu uliopita nimekuwa player of the season usinipimie
 
Last edited by a moderator:
Mnaongeeeee sana mtafikiriri mnaweeza kazi ikianza ni wazee wa kusugugua miguu.
 
ngoja nianze kumfuata mmoja mmoja chemba maana naona maneno mengi vitendo hamna,nahisi ww ndo utakuwa una bahati mbaya coz nataka nianze na ww

ha ha ha ha mimi level nyingine kijana.
 
...mndengereko naomba mniite cku ya mechi hata kwa kulipia nione nani bingwa?...
 
Ajitokeze mtu wa kunipigia huyu Mndengereko maana anajisifu sana.
 
Anaejiona yoyote anaweza mziki wangu wa fifa 14,anifuate chemba maana naona huyu nae ALEYN ashanikimbia maneno mengi vitendo hamna.
 
Last edited by a moderator:
ALEYN Hiyo Fifa 14 unaitoa bure? Mie napenda sana game za soccer ila huwa nashindwa kufanya settings. Kwasasa nina Fifa12 lakini inanizingua. Sijui nini kinapungua. Hai-load.
 
Last edited by a moderator:
AHHAAA yani huko ndio ukae utulie nimepewa mke kama tuzo kwa ajili ya drafti...we nambie tu kama mtaalam wa frencha au laa?

.
Heheeee mi iwe french iwe nn
.
Ni mauaji tu kiongozi
.
Kwenye french huko
.
Waulize ma bint wale nilicho wafanya... Na nazid kuya tafuta mengineee
.
Ila draft la kawaida nakuonea huruma
 
.
Heheeee mi iwe french iwe nn
.
Ni mauaji tu kiongozi
.
Kwenye french huko
.
Waulize ma bint wale nilicho wafanya... Na nazid kuya tafuta mengineee
.
Ila draft la kawaida nakuonea huruma
haya mkuu usije ukasahau njia ya kwenda kwenu tuu maana kitaa asiyenijua nani...UJIPANGE SAWASAWA me siongei sana coz kipigo tu sina siasa tantalila
 
ALEYN Hiyo Fifa 14 unaitoa bure? Mie napenda sana game za soccer ila huwa nashindwa kufanya settings. Kwasasa nina Fifa12 lakini inanizingua. Sijui nini kinapungua. Hai-load.

hilo tatizo hata mimi ninalo kwenye fifa 13... Mwanzoni lilikuwa linaplay vizuri....
 
Last edited by a moderator:
haya mkuu usije ukasahau njia ya kwenda kwenu tuu maana kitaa asiyenijua nani...UJIPANGE SAWASAWA me siongei sana coz kipigo tu sina siasa tantalila

.
Nikirudi dsm ntakutafuta??
.
Kinda holaaaaa
.
Vitendo kwanza
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom