FIFA 14 naitoa Bureee, anayeihitaji tuwasiliane.

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
24,272
Reaction score
43,175
Habari zenu Wakuu, nina Fifa 14 ambayo ipo Cracked na Nos Team. Haina tatizo lolote lile, kwa wale wapenzi wa mpira wanaifurahia sana hii Game. Mimi nipo Dar na sidhani kama nitatoka nje ya Dar, na ikitokea nikatoka basi nitaenda Arusha. Game ipo ni wewe tu na Flash yako ama External. Hii ni Game kwa ajili ya Computer, kabla hatujawasiliana hakikisha PC ina RAM na Processor nzuri. Mtanipatia namba zenu PM kwa wale mtakaohitaji.
 
mi natafuta mpinzani wa fifa 14 namuhitaji..nmezunguka duniani kote bado cjampata.....kwa anayejiamini aje aone 2014 chungu...juzi 2 nmetoka kigoma nilichangiwa nauli niende nikambamize jamaa..jamaa alikula kichapo km cha Cheka kutoka kwa Mrussia
 
Kaka tema mate chini, Level ya Legendary wamekaa, tena ni Real Madrid.
 
uko wapi ww? nna colleague ambae anatamba kama ww, he says he's the king of fifa 12- fifa 14 na the guy is un-beatable kwel, an encounter with you if you're that good would be interesting!!
 
mi natafuta mpinzani wa fifa 14 namuhitaji..nmezunguka duniani kote bado cjampata.....kwa anayejiamini aje aone 2014 chungu...juzi 2 nmetoka kigoma nilichangiwa nauli niende nikambamize jamaa..jamaa alikula kichapo km cha Cheka kutoka kwa Mrussia
watu mna mbwembwe mimi nipo mwaka 2018 nw kwenye player career nimechukua bundesliga mara 2 uefa mara 1 na german cup mara 2 tena level ya world tena kwa timu ya einfrenkfurt,usitukane mamba kabla ya kuvuka mto maneno mengi mkiambiwa mtafute time mnakimmmbia kama mwenzenu donlucchese
 
Last edited by a moderator:
Kaka tema mate chini, Level ya Legendary wamekaa, tena ni Real Madrid.
yah inawezekana si unakamia mechi moja tu cha msingi cheza ligi either manger au player career become a pro alafu chukua kombe hapo ndo nitakuaminia,
 
watu mna mbwembwe mimi nipo mwaka 2018 nw kwenye player career nimechukua bundesliga mara 2 uefa mara 1 na german cup mara 2 tena level ya world tena kwa timu ya einfrenkfurt,usitukane mamba kabla ya kuvuka mto maneno mengi mkiambiwa mtafute time mnakimmmbia kama mwenzenu donlucchese

mkuu uko wap!!
 
Last edited by a moderator:
mkuu uko wap!!
nipo dar mkuu alfu kitu tunajiachia kwenye ps 3 kitu cha wireless na screen kubwa sio kwenye viscreen vya laptop yeyote anaejiona ana ubavu anitafute narudia tena yeyote anaejiona ana ubavu anitafute mwaka juzi (2012)nilivyokuwa dom nilitawazwa king of pes dom toka nimehamia fifa ndo kabisa kila mtu ananikimbia,nabaki kucheza na computer tu
 
ha ha ha ha Jamaa una mikwara wewe.
 
nipo dar mkuu alfu kitu tunajiachia kwenye ps 3 kitu cha wireless na screen kubwa sio kwenye viscreen vya laptop yeyote anaejiona ana ubavu anitafute narudia tena yeyote anaejiona ana ubavu anitafute mwaka juzi (2012)nilivyokuwa dom nilitawazwa king of pes dom toka nimehamia fifa ndo kabisa kila mtu ananikimbia,nabaki kucheza na computer tu

asee nna a friend in Mwz the guy ametafuta mbabe to the point of going around the game stops and offering money to anyone who can beat him and none has been able to beat him. In Dar i also have a guy ni un beaten and looking badly for a worthy opponent. Where do u hang around the most? U guys must meet up!!
 
huyo jamaa yako hamuwezi Mndengereko,.
 
watu mna mbwembwe mimi nipo mwaka 2018 nw kwenye player career nimechukua bundesliga mara 2 uefa mara 1 na german cup mara 2 tena level ya world tena kwa timu ya einfrenkfurt,usitukane mamba kabla ya kuvuka mto maneno mengi mkiambiwa mtafute time mnakimmmbia kama mwenzenu donlucchese
acha kuntisha wewweee nmekutana na wa2 km wewe eti anacheza online na wakali wa fifa abroad...nikambamiza cnaga huruma mm...nakupa mechi 3 ukitoa draw moja we kidume
 
Dah hapo kazi ipo.
Mie mbona mtanifunga wote
 
nipo dar mkuu alfu kitu tunajiachia kwenye ps 3 kitu cha wireless na screen kubwa sio kwenye viscreen vya laptop yeyote anaejiona ana ubavu anitafute narudia tena yeyote anaejiona ana ubavu anitafute mwaka juzi (2012)nilivyokuwa dom nilitawazwa king of pes dom toka nimehamia fifa ndo kabisa kila mtu ananikimbia,nabaki kucheza na computer tu
duuh kumbe kuu we ni bingwa wa vilaza ( i mean pes ni ya vilaza)..yani we ucjaribu huu moto huuwezi kuuzima..afu bwana mdg hivi hicho kips3 chako utafananisha na laptop ya alien (32GB ram) tena 2na2mia hdmi port ya bonge la flat screen..c mon grow up meen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom