mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,395
nnachokiona hapa clouds tv ni muziki kukata, mike kuzimika ghafla na live band kupwaya. Mpaka sasa wasanii kama dayna, barnaba na rich mavoko wameharibiwa show zao na wamekuwa frustrated kwa kweli. Labda baadae fundi mitambo atatulia, mie naenda zangu kulala tu.
Mbona nimeangalia cloudz tv nimeona wapo wengi. Yaani unataka kusema wabongo hawamshobokei The Boss Rozay
Kuna siku fiesta ita back fire,ina faida gani hasa kwa kizazi hiki?au ina promote unywaji pombe kwa wanafunzi na ngono?ina promote Bongo flavor badala ya shule na masomo ya sayansi?sijui ni mtazamo wangu tu,burudani sawa ila ina expose sana vijana kuingia kwenye dunia ambayo hawajajiandaa nayo!!ni mtazamo tu!
Natalajia na malipo kwa wasanii watalipwa ambayo haijawahi kutokea na siyo ujanja ujanja kama wa TFF.Acheni uongo nyie mimi nilikuwa huko watu walijaaa sanaa na haijawahi kutokea
mmh kamanda wa nyota tatu na wewe ulikuwepoAcheni uongo nyie mimi nilikuwa huko watu walijaaa sanaa na haijawahi kutokea
Inawezekana