Fiesta on Clouds TV

Mbaya kuna wasanii wanaingia wamelewa na wengine wanavuta bangi huku nyuma kama machizi nahisi mshajua wakina nani
anayway wakao kazini tutafanyaje
 
hapa kuna linex yaani makelele na kuwalazimisha watu kupiga makofi kwa nini msanii asiimbe ili watu wajisikie kuweka mikono juu kulipa ulipe kiingilio na kuimbishwa uimbishweee du
 
Naona sharobaro anawatoa clouds kimaso maso kidogo ingawa ana sauti kama kavuta fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Hata hivyo set up ya audio very poor kwa kurusha katika tv ni kama pa speaker.............full play back sijui hawa wasanii wataendaje international forum kama hiki kipimo kidogo tu cha kibongo bongo hawa wasanii kweli tabu tu sijui wanamdudu gani kichwani
 
Ndo madhara ya kuchanganya politics na burudani,poleni cloudsfm,mpaka mwakani mtakuwa rasmi chombo cha propaganda za ccm!!
 
kitu ambacho kipo poa ni urushaji wa video wa moja kwa moja wameweza kwa ufananisi mkubwa sana sijategemee kama wangelikuwa na uwezo mkubwa kama huu na wasanii hadi sasa sharobaro kajitahidi na yule demu sijui anaitwa nani....
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni..nimependa idea ya wasanii wa sasa kuwapa tuzo wasanii ambao n waasisi wa bongo flava..
kuna mwasisi zaidi ya sugu?? weusi wagumu asilia mnawakumbuka?? dont joke .................
 
Back
Top Bottom