Nimegundua pia fuatilia wasanii ambao wana elimu kidogo na wale waliokimbia shule huwa show zao zinatofautiana kiasi kikubwa, mtu kama alikimbia shule wakati anasoma ya ye yi yo yu akipanda jukwaani lazima aanze sema yeyaaaa yoyoooooo yayaaaaa yuyuuuuu.