Mimi nipo hapa kinondoni kwangu nashindwa kutuliza akiri na kupumzika baada ya mizunguko ya mchana kutwa kwani nasikia makerere ya misauti ya miziki kutoka huko kumbe, ni hilo fiesta... Dah bora mkuu angezuia tu watu tupate muda wa kupumzika kwa hiyo leo sitapata usingizi kabsa.... Ila sio mbaya mwaka ujao haitafanyika tena hapo.....