Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,026 Nov 26, 2017 #561 Nimeona mtu kwenye Back Vocal Kama Kaoge Huenda ndiye anafanya show iwe Pasua Kichwa.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,503 Reaction score 57,043 Nov 26, 2017 #562 Raphael wa Ureno said: Nimeona mtu kwenye Back Vocal Kama Kaoge Huenda ndiye anafanya show iwe Pasua Kichwa. Click to expand... Kaoge amefariki mkuu
Raphael wa Ureno said: Nimeona mtu kwenye Back Vocal Kama Kaoge Huenda ndiye anafanya show iwe Pasua Kichwa. Click to expand... Kaoge amefariki mkuu
Wa kusoma JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 3,454 Reaction score 2,984 Nov 26, 2017 #563 Hili limerudi tena, pxiuuuuuuu
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,666 Reaction score 78,149 Nov 26, 2017 #564 Sipendi waimbaji ambao hata hawatumii nguvu kucheza.. wakijawa majasho hivyo.. ni joto ndio ila si ni miili yao.. eti?
Sipendi waimbaji ambao hata hawatumii nguvu kucheza.. wakijawa majasho hivyo.. ni joto ndio ila si ni miili yao.. eti?
Muzine JF-Expert Member Joined May 4, 2017 Posts 32,366 Reaction score 60,480 Nov 26, 2017 #565 kipapi said: Pooooh Click to expand... Poooh putuuuu mxeeew omy dimpozy jux ndo kabisaaa
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,271 Reaction score 29,934 Nov 26, 2017 #566 Kiba Mbona anapiga Show Imepoa Sana
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Nov 26, 2017 #567 mwekundu said: Jamani hivi Tiba ndo kamaliza show???nimejisikia mimi aibu Msanii mkubwa anaondoka kimya kimya ha ha ha bado sana Click to expand... Faza kiba hamna kitu, ndo mana clouds wamemtupa mwazon
mwekundu said: Jamani hivi Tiba ndo kamaliza show???nimejisikia mimi aibu Msanii mkubwa anaondoka kimya kimya ha ha ha bado sana Click to expand... Faza kiba hamna kitu, ndo mana clouds wamemtupa mwazon
U unique dada JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 770 Reaction score 605 Nov 26, 2017 #568 Kiba anaimba people zimetulia kama zinanyolewa no shamrashamra
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,271 Reaction score 29,934 Nov 26, 2017 #569 cocochanel said: Sipendi waimbaji ambao hata hawatumii nguvu kucheza.. wakijawa majasho hivyo.. ni joto ndio ila si ni miili yao.. eti? Click to expand... Wasamehe
cocochanel said: Sipendi waimbaji ambao hata hawatumii nguvu kucheza.. wakijawa majasho hivyo.. ni joto ndio ila si ni miili yao.. eti? Click to expand... Wasamehe
Muzine JF-Expert Member Joined May 4, 2017 Posts 32,366 Reaction score 60,480 Nov 26, 2017 #570 Back vocal wamechoka jaman kwann hawabadilish tht mbn wapo wengi clouds aibu yenu pooooh
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,666 Reaction score 78,149 Nov 26, 2017 #571 Youngblood said: Sasa unaendaje kumpokea mgeni kama huyo na hubby! Click to expand... Si mgeni ambaye anakuja kutusalimia au.. ni vibaya kumkaribsha mtu anayetaka kututembelea?
Youngblood said: Sasa unaendaje kumpokea mgeni kama huyo na hubby! Click to expand... Si mgeni ambaye anakuja kutusalimia au.. ni vibaya kumkaribsha mtu anayetaka kututembelea?
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Nov 26, 2017 #572 Usher-smith said: Christian Bella na Kiba Woyoooooooooooooooooooo Click to expand... Bella ndo anambeba Kiba
Usher-smith said: Christian Bella na Kiba Woyoooooooooooooooooooo Click to expand... Bella ndo anambeba Kiba
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,902 Reaction score 15,928 Nov 26, 2017 #573 Aslay aje amuonyeshe jinsi ya kuimba na mashabiki huyu
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,575 Reaction score 12,368 Nov 26, 2017 #574 Kiba kiba kiba kiba
paparazimkuu JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 1,082 Reaction score 1,429 Nov 26, 2017 #575 Kiba naona kamaliza show mashabiki bado wanashangilia
U unique dada JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 770 Reaction score 605 Nov 26, 2017 #576 screpa said: Aslay aje amuonyeshe jinsi ya kuimba na mashabiki huyu Click to expand... Kweli kabisa
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,902 Reaction score 15,928 Nov 26, 2017 #577 Blue
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,666 Reaction score 78,149 Nov 26, 2017 #578 Demiss said: Yan bora omy katoka nahis kasoma comment yang kaaamua kukimbia Click to expand... Ha ha haaaaa Kabisa Alikuwa anamsindikiza rafiki yake sijui bosi wake.
Demiss said: Yan bora omy katoka nahis kasoma comment yang kaaamua kukimbia Click to expand... Ha ha haaaaa Kabisa Alikuwa anamsindikiza rafiki yake sijui bosi wake.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,503 Reaction score 57,043 Nov 26, 2017 #579 Blue
U unique dada JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 770 Reaction score 605 Nov 26, 2017 #580 Kabysa ndani