Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Jux Umeshindwa M Sapot Hata Kwa Kiitikio Iyo Nyimbo Za Awena

Una Failed Hapo Ndugu Yangu

Mbaya Zaid Unatumia Dk Nyingi Kumzungumzia V Money Badala Ya Wew Kupiga Show Nzur

Ume Failed Hapo

Alafu Izo Nyimbo Anazo Imba Tajiri Wa Mahaba Kwa Nin Usiimbe Wew Au Ungemuomba Tuuuu

Sasa Show Ya Kwako Lakin Inaonekana Kama Ya Kasim Bhana

Ndio Mana V Anakukimbia Wew
 
Mwaka huuu poooh amepoooza na Dodoma walimfukuza jukwaaan wakat aliimba vizur sana
Labda mwakahuu, ila show za mwakajana alikubalika sana.Nadhani na haya maigizo yake na Vanessa yanawaboa wengi, binafsi siyafurahii
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…