Fiesta 2014

Fiesta 2014

godfrey_avya

Senior Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
131
Reaction score
24
Kwa mimi clouds wamejitahidi na kuzima kosoro zote za vipindi vilivyo pita vp kwa upande wako?
 
Ebu simulia basi wengine tuko mashariki ya mbali hata hatujui what us happening. Wameziba gap gani tofauti na alivyokuja yule dada wa Jamaica?
 
Ebu simulia basi wengine tuko mashariki ya mbali hata hatujui what us happening. Wameziba gap gani tofauti na alivyokuja yule dada wa Jamaica?

sound ilikuwa powa tofaut na mwaka jana,dhen show nzima wat wameangalizia clouds bila kukata yan mwanzo mwisho kitu ambacho hakuna aliyetegemea...pia perfomance ya wasanii ilikuwa powa sana bila kusahau kiba kampiga vijembe mwenzie,wakati kasahau yeye hakuna alicho fanya kuupeleka mbele mzkiki kama dimond....
 
hamna kitu kaka.
mwaka huu watu wengi wenye pesa walikosa tiketi nikuanzia kwenye vituo vya kuuzia tiketi mpaka viwanja vya fiesta kwenyewe.
wasanii waliokuwepo wengi wao walipiga show vimeo.
nazani kuwaacha baadhi ya wakongwe nalo ni tatizo.
sijajua kasoro ipo ambayo umewasifu ww au ya umeme kuto kukata??
 
Back
Top Bottom