basi kilimanjaro wako juu, kwani kiingilio ni kidogo 2500-3000 na unapewa bia ya 2500 mlangoni, walikuja songea ilikuwa 2500 tiketi so unakuwa kama umeingia bure,Kili music Tour ndo inalipa.wasanii vizuri kuliko Fiesta
Kila kitu ni ushindani. Ni fursa kwa wasanii kupata pesa kubwa kwasababu fiesta italazimika kupambana na kili tour kwenye malipo la sivyo atakimbiwa na wasanii wote wazuri
naomba ufahamu kitu kimoja kuwa Kili Music Tour huwa inaanza mara tu baada ya Kili Music Awards. Tour ya mwaka huu ilisimama kwa kipindi chote cha mfungo wa Ramadhani na hapo ilikuwa imeshafanyika kama shows tano.
Kwa hiyo kama isingesimama ingekuwa imemalizika muda tu kabla ya Fiesta.