Fidia. . .

Swali : WEWE ukiambiwa uchague kati ya 'sura nzuri, pesa, umbo la kupindisha shingo za wake kwa waume' na ' stong values, good manners, good morals' utachagua kipi?

kwa ufupi nitachagua stong values, good manners, good morals', maana hivi ndivyo vinavyonifanya nizidi kumpenda nimpende mwenza wangu...... ndivyo vinavyomfanya asiishe utamu........na ndivyo vinavyonichochea nizidi kumpenda, kumheshimu, kumthamini na kumfanyia mema kadri ya uwezo wangu
 
Back
Top Bottom