jamii kwa umbea Hamjambo.yani nawaamkia kabisa..Dada wa Watu haumwi ila ni mambo ya Modeling ili aweze kwenda sawa na ma modo wa kimataifa ilimpasa kupunguza mwili wake.inamaana nyeee mueona hizo tumbona zile za Bday ya Martin kandinda hamujaziweka ambazo anaoneka vizuri kiasi flani.Mshindwe na umbea wenu muwe unatafuta source ya habari na si kuguess tu hapa Nyo******** foooooo
Huyu demu anaumwa kweli kama mtakumbuka miaka kama michache iliyopia alimtoaga boyfriend wake kwenye gazeti la udaku Marehemu Noel Nyangezi RIP baada ya kumfumania RG. watu wote wanajua kilichomuua Noel ni haya mambo ya leo. Pia huyu dada huwa anajiuza pale RG sana tu.
RG ndo wap
Ni kweli na wala sio umbea katika hili........Noel was a buddy of mine
nilisahau kaabisa hii sehemu,nashukuru kwa kunipa short form yakesalaam zao tandahimba! waambie wakifika dar watafute makange yoyote mahali panaitwa rose garden!
jamani fide amepungua had amekwisha. Tatizo sijui ni ugonjwa au ndo diet , watu wamjini mtujuze. We unamwonaje kapendeza au kaharibu? Angalia picha nilizoattach
Inno tafadhali acha kupost picha za vitisho humu!ame modify mpaka rangi ,naoogoopa!maana alivyo kuwa anapenda kujinusu uchi na sasa full wraps inanifikirisha!jamani fide amepungua had amekwisha. Tatizo sijui ni ugonjwa au ndo diet , watu wamjini mtujuze. We unamwonaje kapendeza au kaharibu? Angalia picha nilizoattach
Ni kweli na wala sio umbea katika hili........Noel was a buddy of mine
watu wambea humu!
jamani fide amepungua had amekwisha. Tatizo sijui ni ugonjwa au ndo diet , watu wamjini mtujuze. We unamwonaje kapendeza au kaharibu? Angalia picha nilizoattach