Fidi kyiu hana vina vya moja kwa moja ndio maana hawezi firiistaili ila ana vina vya saundi, ngwea ana kila kitu kwenye bongo fuleva na hipopu ya bongo.

Gwea anamuacha mbali sana fidi kyiu kwa sitaili ya kulapu ni sawa umfananishe eminemu na tupaki

Eminemu anaweza sitaili ya kurapu
Ila Tupaki ndio hipopu yenyewe.

Kila mtu ni bora kwenye upande wake
Kama huamini sikiliza CNN ya ngwea

Vesi yangu ya hipopu ya muda wote Ni "msela" gwea ft. Jumanecha na keiara.
 
Verse yako bora ya hip hop ni msela ya ngwair???? . Daah . Umeshinda tajiri
 
Acha uongo we jamaa ..

Au huenda IQ yako ni ndogo Sana Fid hawezi kufanya storytelling hivi unaijua Ngoma ya Ripoti za mitaani ya Fid Q na Zahir Zorro???

Usitudanganye
Ukianza kubishana na watt ambao hawasikilizi hip hop utagundua kwann hip hop ni ngumu kuliko hesabu . Achana nao . Mtoto mmoja ananijibu comment hip hop yenyewe hawezi iandika anaandika ipapu hahaha .. anasema verse yake bora ya muziki hip hop ipo kwenye nyimbo msela ya ngwair na nature . Waache wawasilikize akina marioo hizi hesabu za magazijuto watuachie wenyewe
 
Fid anasema ile ngoma ya Ccn ngwair aliiandikia studio🔥🔥🔥. Na niliwahi kumsikia KR Mullah akihadithia jinsi ngwair alivyofreestly ngoma ya Msela, alifreestyle mara ya kwanza P funk hakurekodi, Akafreestyle mara pili mistari tofauti na ile ya kwanza ndio huu wimbo huu wa msela tulionao leo, jama hakuandila popote
 
Fid anasema ile ngoma ya Ccn ngwair aliiandikia studio. Na niliwahi kumsikia KR Mullah akihadithia jinsi ngwair alivyofreestly ngoma ya Msela, alifreestyle mara ya kwanza P funk hakurekodi, Akafreestyle mara pili mistari tofauti na ile ya kwanza ndio huu wimbo huu wa msela tulionao leo, jama hakuandila popote
Hiyo interview ya KR Mullah nami nimewahi kuisikia.
 
Namkubali Farid ila Ngwea ni mkali kuliko Farid. Unapozungumzia IQ Ngwea yupo mbele ya Fid Q. Ukimsikiliza Ngwea ngoma zake anaandika flows yani bar after bar zinatililika. Fid hawezi kufanya hata storytelling.
Fid hawezi storytelling? Report za mtaani ft Zahir Ally Zorro ilikuwa nini? Kwa upande wangu Ile Ngoma ni miongoni mwa Ngoma kali za muda wote as far as storytelling is concerned!
 
Kupiga freestyle kali haikufanyi kuwa mc mkali mbele ya ma'mc ambao hawapingi freestyle, hip hop ni zaidi ya freestyle!!

Ngwair alikuwa mkali Tena Sana ila naona anakuwa overhyped Sana! Alikuwa na flow kali, alikuwa na uwezo wa Kuimba juu ya beat na kuitembelea kama hataki kama Ngoma she got gwan, pia alikuwa ana content Kali zinazoigusa jamii kama a.k.a Mimi au kama ni binti sikiliza ft Jaydee! So ana maunyama yake yaani sio kinyonge! Pamoja na hayo still kulikuwa MC's kibao ambao kiuwezo walikuwa juu ya Ngwair katika namna mbali mbali!!

Mfano huwezi kumuweka Ngwair na Fid kwenye stage Moja halafu ukasema Ngwair mkali kuliko Fid! Tuzungumzie uandishi, matumizi ya lugha, tamadhali za semi, ufundi katika relate na jamii, content zilizoshiba! Watu wanasema Fid anacopy kwenye vitabu, yes hiyo pia ni sehemu pia ya Sanaa na ndio maana MC's wengine hawawezi hiyo! Fid ni knowledgeable! Maarifa mengi! So kete yangu inaenda kwa Fareed Kubanda!
 
Hii kauli ya Fid kwamba alilazimika kufuata verse sababu aliona kama Ngwair kaumiza Sana watu huwa wanaitumia Sana kuonyesha Fid sio chochote mbele ya Ngwair! Kufuta verse kawaida, Sanaa sio hesabu kuwa unakomaa tu na formula Hadi upate jibu. Sanaa ni hisia, state of mind uliyonayo kwa muda huo Ina mchango mkubwa katika kukufanya uandike Ngoma kali au mbovu! Sometimes inakuwa tu na siku mbaya kazini na ukimsikiliza mwenzako halafu ukijisikiliza wewe unaona kabisa umefichwa unaamua kwenda chombo Tena kuumiza ndonga! Hata kwenye Ngoma ya Mtazamo (haijawa confirmed) story zinasema Jay ilibidi aingize vocal mara kadhaa Ili uzito WA mashairi uendane na wenzake!
 
[
li ya Fid kwamba alilazimika kufuata verse sababu aliona kama Ngwair kaumiza Sana watu huwa wanaitumia Sana kuonyesha Fid sio chochote mbele ya Ngwair! Kufuta verse kawaida, Sanaa sio hesabu kuwa unakomaa tu na formula Hadi upate jibu. Sanaa ni hisia, state of mind uliyonayo kwa muda huo Ina mchango mkubwa katika kukufanya uandike Ngoma kali au mbovu! Sometimes inakuwa tu na siku mbaya kazini na ukimsikiliza mwenzako halafu ukijisikiliza wewe unaona kabisa umefichwa unaamua kwenda chombo Tena kuumiza ndonga! Hata kwenye Ngoma ya Mtazamo (haijawa confirmed) story zinasema Jay ilibidi aingize vocal mara kadhaa Ili uzito WA mashairi uendane na wenzake!
[ICOD[/ICODE]
Hii kauli ya Fid kwamba alilazimika kufuata verse sababu aliona kama Ngwair kaumiza Sana watu huwa wanaitumia Sana kuonyesha Fid sio chochote mbele ya Ngwair! Kufuta verse kawaida, Sanaa sio hesabu kuwa unakomaa tu na formula Hadi upate jibu. Sanaa ni hisia, state of mind uliyonayo kwa muda huo Ina mchango mkubwa katika kukufanya uandike Ngoma kali au mbovu! Sometimes inakuwa tu na siku mbaya kazini na ukimsikiliza mwenzako halafu ukijisikiliza wewe unaona kabisa umefichwa unaamua kwenda chombo Tena kuumiza ndonga! Hata kwenye Ngoma ya Mtazamo (haijawa confirmed) story zinasema Jay ilibidi aingize vocal mara kadhaa Ili uzito WA mashairi uendane na wenzake!
Hiyo stori ya Jay ni kweli binafsi niliwahi kumsikia akikiri hilo la kubadilisha mistari. Tunaweza kutofautiana mawazo ila hilo haliondoi uwezo wa Ngwair kwenye tasnia. Jamaa alikuwa na uwezo wa kipekee sana. Fid anaweza kuwa na div 1 ya point 3 ktk muziki, ila A zake ndio zile za 85 ila Ngwair ana zile A za 100. Msonge juu ya msonge.
 
Wote wakali sana Ila kuna goma la prof j ft j moe linaitwa tathimin jamaa waliufikirisha sana ubongo wao pale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom