FID Q sumu ngoma jipya

FID Q sumu ngoma jipya

daaaaaaaaaaaaah tuma na pic ya fid q mana nataka n mpost inst
bz leo n bday yke
 
Asitumie nguvu sana kuimba hiyo nyimbo, haina walaji@&$ aendane na soko lililokuwepo, that's too hard to understand the content, Jana usiku nilikuwa namsikiliza clouds fm kwa mara ya kwanza anarelease ikafika hatua wale presenter wakaweka mistari aifafae akawa ye mwenyewe hajui ipo sehemu ganiiiii>>kituko ikabidi wazuge, hata pale mwenyewe alipoambiwa afafanue mstari kwa mstari sikuwa namuelewa maana anarudia maneno yaleyale badala ya kufafanua maana halisi ya content, So Fid kwenye hii ngoma kazingua, aache hizo huu wimbo hautakaa sana sokoni utapokea within very few weeks, time will tell
 
Huyu ndiye MC no 1tz ninaye mkubali, jamaa nyimbo zake zina maneno za kumtia mtu nguvu hasa agosti 13, kipindi inatoka nilikuwa ktk msoto mmoja mtakatifu but kupitia maneno ya hii nyimbo nilinyanyuka.
tatizo mziki wa hiphop unakufa hakuna mtu wakukaa na kutafafanua mistar yako wasafi wanaua soko hakuna anaependa kuelimika na mistar kuntu pamoj nakutoa walk it off sijui kama imemlipa simsikii kweny shoo yeyote
 
Back
Top Bottom