FID Q ni sumu

True bruh..kuna manyang'au humu yashazowea kumckiliza msaga sumu that's why vitu kama hivi kwao ni ngumu sana kuelewa
 
Jamaa Yenu ni Mkali Sana,Yupo Level kama za Kina Notorious BIG,Run DMC,De La Soul,Rakim na Kwa Hili Goma Lazima Tunzo ya Hip Hop Bora achukue maana ngoma ni Hatari inatisha 16 barz za hatari.
Unafik on fleek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…