The lost son
Senior Member
- Dec 14, 2010
- 103
- 74
Ngoma Imekaaa Vizuri.
Bravo Ngosha
Bravo Ngosha
We jamaa ww aya utakua mshabiki wa liburiAnapiga Kelele tu hamna kitu.
True bruh..kuna manyang'au humu yashazowea kumckiliza msaga sumu that's why vitu kama hivi kwao ni ngumu sana kuelewafid q big up, big up, big uuuuuuup... ilo ngoma nimelielewa!! wewe kama hujaelewa there two things involved in your mind. one: muda wako wa kuelewa bado hujafika kwa io usijali akili yako ikikomaa utaelewa, and two: una knowledge ndogo ya kuchanganua mambo. So if you dont understand its better to shut the f*ck up and be quite until mda wako mkifika. Just for peace # one love #
Unafik on fleekJamaa Yenu ni Mkali Sana,Yupo Level kama za Kina Notorious BIG,Run DMC,De La Soul,Rakim na Kwa Hili Goma Lazima Tunzo ya Hip Hop Bora achukue maana ngoma ni Hatari inatisha 16 barz za hatari.