The Ideologist
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 502
- 292
Anapiga Kelele tu hamna kitu.
Yes ni Hisia zako pia.Hizo ni hisia zako na sio hoja
Kila mtu atamuelewa kulingana na upeo wake..na hio ni moja ya sifa ya hip hop.Anapiga Kelele tu hamna kitu.
Usiforce tufanane...Sio kila ngoma unayoikubali wewe na sie tuikubali,kila mtu ana choice yake...Kuna watu wanamuelewa man fongo na wengine hawamuelewi so usiforce watu wawe sawa kimtizamo....Hiyo Sumu Jamaa yako anapiga Makelele tu.Kila mtu atamuelewa kulingana na upeo wake..na hio ni moja ya sifa ya hip hop.
Ukiona hujaelewa kabisa ujue haikuhusu
Usiwe unakomenti hata kwenye kitu usichokijua............nenda kwa singeli/taarabuAnapiga Kelele tu hamna kitu.
Na wewe wa PM watu uzi wako usiuanzishe kwenye open forums.Usiwe unakomenti hata kwenye kitu usichokijua............nenda kwa singeli/taarabu
link hipo juu hapo au ingia