FID Q ni sumu

FID Q ni sumu

fid q big up, big up, big uuuuuuup... ilo ngoma nimelielewa!! wewe kama hujaelewa there two things involved in your mind. one: muda wako wa kuelewa bado hujafika kwa io usijali akili yako ikikomaa utaelewa, and two: una knowledge ndogo ya kuchanganua mambo. So if you dont understand its better to shut the f*ck up and be quite until mda wako mkifika. Just for peace # one love #
Mkuu usipanic kila mtu anavitu anavyopenda kwenye mziki,kuna mwingine anapenda beat tu hata kama mashairi kaputi kuna mwingine flow tu,mwingine mashairi kuna mwingine ili apende wimbo anaangalia vitu vyote kikimiss kimoja anakuwa haikubali.

Sijausikiliza huu wimbo nilitaka kuweka sawa tu sio kila asiyeukubali huu wimbo basi ana upeo mdogo mwingine labda hajavutiwa na flow etc
 
Ngoma kali sana. ...ukisikiliza ile kaimba na Bella nayo sio ya kitoto
 
Mkuu usipanic kila mtu anavitu anavyopenda kwenye mziki,kuna mwingine anapenda beat tu hata kama mashairi kaputi kuna mwingine flow tu,mwingine mashairi kuna mwingine ili apende wimbo anaangalia vitu vyote kikimiss kimoja anakuwa haikubali.

Sijausikiliza huu wimbo nilitaka kuweka sawa tu sio kila asiyeukubali huu wimbo basi ana upeo mdogo mwingine labda hajavutiwa na flow etc
....ila hilo boya lililosema anapiga makelele tu ni shoga,zake taarab vidole juu!
 
wazaramo wa kisasa( kizazi cha akina man fongo) watapita mbali na huu uzi, ama sivyo watamkandia mleta maada.
 
Jamaa Yenu ni Mkali Sana,Yupo Level kama za Kina Notorious BIG,Run DMC,De La Soul,Rakim na Kwa Hili Goma Lazima Tunzo ya Hip Hop Bora achukue maana ngoma ni Hatari inatisha 16 barz za hatari.
sawa mchagga
 
Tuna moka ili kusafiri kihisia...ngosha yupo vizuri asee flow nzuri kidogo niseme immortal technique, mashairi yamesimama na mdundo mzuri hongera aendelee kukaza tunamuelewa sana.
 
Jamaa Yenu ni Mkali Sana,Yupo Level kama za Kina Notorious BIG,Run DMC,De La Soul,Rakim na Kwa Hili Goma Lazima Tunzo ya Hip Hop Bora achukue maana ngoma ni Hatari inatisha 16 barz za hatari.
....wewe kuzi tu!
..sasa kwahiyo kutajataja hayo majina na 16 barz ndo uonekane unaijua hiphop..!??
..kafie mbele!
 
Usiforce tufanane...Sio kila ngoma unayoikubali wewe na sie tuikubali,kila mtu ana choice yake...Kuna watu wanamuelewa man fongo na wengine hawamuelewi so usiforce watu wawe sawa kimtizamo....Hiyo Sumu Jamaa yako anapiga Makelele tu.
shabiki wa manfongo una povu la safari lager
 
iyo ni maalum kwa brains kupata uwezo wa kufikiri kwa kina`binadamu ni wangapi mimi najitoa nisiwemo,jana nliwapa ofa ya mswaki leo mnanin'goa meno'-ninyi
 
Back
Top Bottom