BARD AI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 3,591 Reaction score 8,853 Jul 13, 2023 #1 Baada ya kuombwa kufanya collabo na msanii huyo amaye ni lead dancer wa Marioo, hatimaye moja kati ya MC's Bora kabisa wa Hip Hop Tanzania, FID Q ameamua kushiriki kwa nguvu zote katika collabo hiyo. Your browser is not able to display this video.
Baada ya kuombwa kufanya collabo na msanii huyo amaye ni lead dancer wa Marioo, hatimaye moja kati ya MC's Bora kabisa wa Hip Hop Tanzania, FID Q ameamua kushiriki kwa nguvu zote katika collabo hiyo. Your browser is not able to display this video.
gwa myetu JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 4,473 Reaction score 4,671 Jul 13, 2023 #2 Fid Q ngosha wanaman
Soga za mzawa Senior Member Joined Oct 27, 2017 Posts 181 Reaction score 212 Jul 13, 2023 #3 Duuuuh! Ndiyo HIPHOP amapiano
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,399 Reaction score 29,338 Jul 13, 2023 #4 Misingi kwisha, upepo muhimu.
Johnny Impact JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 5,543 Reaction score 9,166 Jul 14, 2023 #5 Ncha Kali said: Misingi kwisha, upepo muhimu. Click to expand... Muziki hauna mipaka kumbuka muziki ni kazi
Ncha Kali said: Misingi kwisha, upepo muhimu. Click to expand... Muziki hauna mipaka kumbuka muziki ni kazi
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,178 Jul 14, 2023 #6 Last man down
Wakuperuzi JF-Expert Member Joined Mar 31, 2023 Posts 2,844 Reaction score 6,692 Jul 14, 2023 #7 CK Allan said: Last man down Click to expand... Mkuu ujue yumo humu atakuwa hasomi hadithi zako
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,178 Jul 14, 2023 #8 Wakuperuzi said: Mkuu ujue yumo humu atakuwa hasomi hadithi zako Click to expand... Potelea pote... πππ
Wakuperuzi said: Mkuu ujue yumo humu atakuwa hasomi hadithi zako Click to expand... Potelea pote... πππ
Orlando_ JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 662 Reaction score 1,209 Jul 15, 2023 #9 π€π
ngaboru JF-Expert Member Joined Mar 3, 2016 Posts 2,116 Reaction score 5,530 Jul 16, 2023 #10 Kajua kuchagua jina zuri
Mwambawetu JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 25,383 Reaction score 34,367 Jul 16, 2023 #11 Ncha Kali said: Misingi kwisha, upepo muhimu. Click to expand... Fuata misingi, ulale na njaa.