Fid Q: Best Quotes from his music, his interviews & from himself

Unapowazungumzia wasanii kama akina

..FID ,,,

WANIUMIZA TU.
WANIFANYA NIMKUMBUKE P.FUNK MAJANI.

EVERLASTING IDEAS.
 
Ruksa kunitoa ushamba kwa kile nisichokijua ntakua mjinga kwa sekunde kisha?????

#Im a professional..

kweli kabisa mtu anakuwa mshamba akiwa hajui kitu lakini akijua si mshamba tena ndani ya dakika anakuwa mwingine!
 
Nikisimama huwa sichoki,nikiingia huwa sitoki.Napenda anavonitania eti nimechanjia dodoki.Ngoma inaitwa peleka salaam(fa ft fid na berry black)
 
Huyu mtu jina lake na anavyotema ni sawa kabisa...fareed/unique/exceptional/one over kind...

#Nilipotoka ni mbali naheshimu hapa nilipo
 
Wako wapi, akina man dojo n domokaya.,

??
 
''Kimahakama,Kiserikali,Kidini umsujudu huu ni utumwa pia,wanafanya vijana wanaumia,tunaishia kufia mabatani kama nzi ndani ya glasi pia'' Siri ya mchezo.
 
kutaka kujua ukwel ni sawa na kumenya kitunguu kila ganda litakutoa chozi na kubaki macho juu juu"
 
Ukitaka mfuga chatu anda Unga wa kumlisha/na ukitaka kufika tatu 1,2 lazima uwe umepita.

Mwanza Mwanza
 
hii ni high levo/sio eye levo ndio maana unioni,

Ni hayo tu
 

ngoja escrow iishe ntarudi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…