Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
tunachukiana kwasababu tunaogopana/
tunaogopana kwa sababu hatujajuana/
hatujuani kwasababu tunatengana/
dunia ni nzuri.. walimwengu hawana maana/
FidQ Propaganda
Mapenzi Ya Sikuhizi.. Bila
Kugombana Yanakua Hayana
Stimu/ Pia Ni Ruksa Kushikana
Lakini Sio Kushikiana Simu
hakuna adui mbaya ka
rafiki yako mwenyewe ambaye hajui.. ka
yupo nawe.. au yupo kinyume na wewe/
bora adui.. kama hachachawi utaenda
muomba akuelewe/
Akupigae ngumi ya jicho
mpige ngumi ya sikio
akikuuliza unaonaje
muulize unajiskiaje
sakata la ESCROW LIMENIKUMBUSHA HAKA KAMSTARI....
wanajiingizia kipato kwa kimvuli cha misaada/hawatufunzi tuwe Viongozi labda Viongozi wakuwafata/utata huja, tunapoanza kuwachunguza/badala ya kuwafata ndipo Siri zinapovuja/..... PROPAGANDA

nakubali ni fasihi ila nikiangalia katika hali ya kawaida ngumi ya jicho inauma kuliko ya sikio...kama vipi ingeanza akikupiga ngumi ya sikio wewe ndo upige ya jicho umalize kesi!...konde la jicho likikiupata hata nguvu ya kupiga ya sikio inakata
"Hip Hop ni ukweli, unapoanza kudanganya inakuwa Rap"
Fid Q akijibu swali kuwa Hip Hop na Rap zina tofauti gani.