Hivi kweli hawa jamaa ni waTZ kweli, mi sura zao wengi nikiziangaliaga na jinsi walivyo hawafananii kabisa.
Mkuu,
Utaratibu wa sasa wa kuwapata Polisi ni hatari mno, amini usiamini yeyote yule anaweza kuingia pale CCP (Mkongo, Mrundi, Mganda, Mmalawi, Mnyarwanda nk nk.) alimradi tu awe na fedha, nayaongea haya kwani nimefika hadi CCP, na kupata hali halisi "on the ground." Kwasasa bei ni 1.2m ukishatoa hii unapaswa kuacha passport size 3 tu then, maswala ya vyeti (kama hujafika Sekondari) wanatengeneza wao wenyewe in connection na wenzao wa Dar (Mambo ya Ndani).
Hii ndo hali halisi sasa je, mfano wakiingia hao wasio Watanzania what do you expect? ....kama Nchi itapata Kiongozi mwadilifu in future, itabidi aanze upya.........
Hivi kweli hawa jamaa ni waTZ kweli, mi sura zao wengi nikiziangaliaga na jinsi walivyo hawafananii kabisa.
Maelezo yako ni mazuri. Lakini mtoa mada anazungumzia sura zao kwamba hawafanani na watanzania. Wana sura ngeni tu ambazo ni tofauti mno za watz. Hajaongelea mafunzo, ukakamavu na utendaji wao wa kazi. Basi amejikita ktk appearance ya hawa viumbe serious.Mambo mengine hayana kichwa wala miguu. Inaelewrka wazi askari yoyote anatakiwa awe mkakamavu, na FFU ni miongoni mwa askar iambao wanatakiwa wawe wakakamavu ili waweze kutumia vifaa na nguvu zao + ujuzi walionao kutuliza ghasia.
Hoja ya msingi ni matumizi ya FFU je ni sahihi???? Na hili haliwahusu hao FFU kwa sababu wao ni watu wa kutekeleza maagizo toka kwa viongozi walio juu yao.
Kama viongozo wao wanatumika kisiasa au vibaya huna haja ya kuwalaumi FFU ambao wao wanatekeleza amri halali.
Kuhusi mfumo wa uajiri kama upo corrupt au una mapungufu hiyo inkuwa ni tatzo la system nzima na siyo FFU.
Maelezo yako ni mazuri. Lakini mtoa mada anazungumzia sura zao kwamba hawafanani na watanzania. Wana sura ngeni tu ambazo ni tofauti mno za watz. Hajaongelea mafunzo, ukakamavu na utendaji wao wa kazi. Basi amejikita ktk appearance ya hawa viumbe serious.
Mkuu,
Utaratibu wa sasa wa kuwapata Polisi ni hatari mno, amini usiamini yeyote yule anaweza kuingia pale CCP (Mkongo, Mrundi, Mganda, Mmalawi, Mnyarwanda nk nk.) alimradi tu awe na fedha, nayaongea haya kwani nimefika hadi CCP, na kupata hali halisi "on the ground." Kwasasa bei ni 1.2m ukishatoa hii unapaswa kuacha passport size 3 tu then, maswala ya vyeti (kama hujafika Sekondari) wanatengeneza wao wenyewe in connection na wenzao wa Dar (Mambo ya Ndani).
Hii ndo hali halisi sasa je, mfano wakiingia hao wasio Watanzania what do you expect? ....kama Nchi itapata Kiongozi mwadilifu in future, itabidi aanze upya.........
Unamaana kwasasa hatuna kiongozi muadilifu......,yahuruma yoote,upole woote huvioni mkuu?Haya basi kasema haendi tena Ethiopia!Furahi walau kidogo eee!