FFU anapo kuwa mzembe kazini

Huyu si alikuwa wa kutimua kazi huyu? Yaani FFU goigoi kama huyu atatuliza ghasia? Hawa ndio wanaolipua waandishi kwa kumalizia hasira za ugoigoi wao. Hawa tunawaheshimu tu unafikri wananchi tukiamua kutunisha misuli wataona ndani??! Hawana lolote wachovu tu.

Kuna mwingine alitaka kunivunja mbavu kwenye mechi pale Shy. Eti anaenda kudhibiti mchezaji alipiga refa kurusha teke ili apige mtam yeye ndo akanguka na siyo yule mchezaji ilikuwa ni aibu ya mwaka. Hawana ukakamavu wowote hawa. Tumb..ff zao!
 
377202_364829316926254_330306101_n.jpg
 
Back
Top Bottom