MNDEE
JF-Expert Member
- Jul 10, 2009
- 491
- 68
Mkuu inawezekana yaliyokukuta has nothing to do with you. Mwana mama mmoja mweusi huko Marekani ana degree mbili za IT aliwahi patwa na mkasa, alikwenda kwenye interview director wa IT alipoingia kwenye chumba cha interview alitupa jicho akageuka akaishia.
Assumption zilikuwa nyingi moja ni ubaguzi wa rangi, mama ana majina ya kizungu chances kibosile hakufahamu mpaka alipomuona kuwa ni mtu mweusi. Mara nyingi hiring manager or director anakuja kwenye interview ya mwisho baada ya kupigwa zile za HR na technical.