Female ejaculation

Female ejaculation

Kop

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
178
Reaction score
338
Katika kupitia pitia mada zinazoletwa jamvini, nimeona baadhi wakidebate kuhusiana na female ejaculation na hata mambo ya kufikishana kileleni.
Kitu hiki kimeshafanyiwa tafiti mbalimbali za kisayansi na matokeo yake kuchapishwa katika majarida tofauti ya kisayansi.
Nimeona si vibaya nikiwaletea utafiti uliofanywa katika mkoa wa Kagera, na nchi za Rwanda, Burundi, Uganda na Eastern Congo.
Kama una uwezo wa kusoma scientific papers, download attachment hapa chini.
Wale mnaobishana juu ya katerero na female ejaculation kazi kwenu kupitia utafiti huo, kama ngeli haipandi pole
 
Hiyo doc ipo kule jukwaa la wakuba mkuu so umefanya kuihamisha tuu kutoka kule kuileta huku adharani.
 
mhhh kiopera changu hakifungui
 
Hiyo doc ipo kule jukwaa la wakuba mkuu so umefanya kuihamisha tuu kutoka kule kuileta huku adharani.
Kuna mtu kauliza JF Doctors nikaiweka, nikaona pia sio vibaya kuiweka na hapa, au jukwaa gani unaongelea?
 
Kuna mtu kauliza JF Doctors nikaiweka, nikaona pia sio vibaya kuiweka na hapa, au jukwaa gani unaongelea?
Naongelea jukwa la mambo ya kikubwa, hata hivyo mods wakiiona hii topic wataitupia kule mkuu kwa sbabu contents zake ni za 'kiutu uzima' zaidi. si unajua!
 
  • Thanks
Reactions: Kop
Back
Top Bottom