Fela na Yamoto : Zile Nyumba Ziliishia Wapi?

Fela na Yamoto : Zile Nyumba Ziliishia Wapi?

Zipo, familia ya Mbosso (wazazi wake) inaishi pale
Miaka kadhaa nyuma Nliwah kuona mbosso amewajengea nyumba wazazi wake.

Kwahy ukweli n upi, bado wazazi wanaishi kwenye nyumba ambayo mbosso alipewa na fella Au wanaishi kwenye nyumba waliojengewa na mwanae mbosso?
 
Miaka ile meneja wa Yamoto Ndugu Saidi Fela, kuna nyumba aliwajengea/aliwanunulia vijana wake wa Yamoto bendi.

Hivi zile nyumba walipewa jumla au zilikuwa geresha tu za Bwana Fela!?
asaidiwe matibabu hahahh
 
Miaka kadhaa nyuma Nliwah kuona mbosso amewajengea nyumba wazazi wake.

Kwahy ukweli n upi, bado wazazi wanaishi kwenye nyumba ambayo mbosso alipewa na fella Au wanaishi kwenye nyumba waliojengewa na mwanae mbosso?
wazazi wa Mbosso wanaishi pale, hata leo nenda utawakuta pale
 
Back
Top Bottom