Feisal ni kijana mashuhuri kutoka Zanzibar , ni kijana mwenye uwezo mkubwa na mara zote huwa na juhudi na kuyafikia malengo aliyojiwekea.
Leo katika mchezo wa Azam vs Yanga kijana huyu alimaarufu kwa jina la "Feitoto" aibuka shujaa dimbani, baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi na kuipatia alama tatu mhimu
Lakini pia kijana huyu mahili ameifanya nchi yetu kuwa na utulivu katika kipindi hiki mhimu cha mfungo.
Alisikika akisema "Sina tatizo na Yanga, nina tatizo na Engineer Hersi, akiondoka nitarudi kuchezea Yanga"
Yanga timua Eng ili mumrudishe mchezaji wenu mwenye uwezo wa hali ya juu sana kwa sasa🤣🤣