Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,281
- 184,983
Nishakua tayari, labda tuzeeke pamoja...Sawa
Lala ukuwe 😎
Nishakua tayari, labda tuzeeke pamoja...Sawa
Lala ukuwe 😎
Hahahaa kumekucha vzuri leoKumekucha 🤣🤣
🤣🤣🤣 zeeka mwenyeweNishakua tayari, labda tuzeeke pamoja...
Katunge nilikuwa namchukulia wa kawaida ila toka amevyopata hizi ajira za TRA nimeona uzuri wake umeongezeka saana na hapo ndio nikagundua mimi SIWEZI KUISHI BILA YEYEKatunge amekutunga wallah![]()


Hapana ni mrembo haswa na ana akili saanaKatunge is insane
Love is reallyLove is crazy!
Hawajui mapenzi ni matamu saanaNgoja tuwasubili waliotendwa na mapenzi waje hapa wauponde uzi wako
😂😂😂😂Katunge is insane
Till death to us apart...🤣🤣🤣 zeeka mwenyewe
Mimi bado mbichiiii
Kwann waunganishe jamaniTunaomba huu Uzi wa Katunge uunganishwe.
Si ili Katunge asome kwa urahisi jamaniKwann waunganishe jamani
Waache ibaki hivi hivi tu Dear KATUNGE ndivyo apendavyoSi ili Katunge asome kwa urahisi jamani
Jf hamna stickerTill death to us apart...
Hakika wewe bado mbichi sana...
Maji ya baridi yanataka kukuzeesha mapema...
DNA sipimi ila Daniel nafanana nae mgongo na jinsiaNa mtaachana tu, kwanza fanya mchakato ukapime DNA na huyo Daniel
Hela natoa wap sasaManeno ya Darasa la sita C...
siku hizi action speak louder than words....
Action = Money