Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,984
We jamaa unajidediketia nyuzi toka Jana,kweli upweke mbaya

Mm ni shabiki wa Manchester United nilianza kuishabikia mwaka 2005 then nikaacha kuishabikia kipindi kocha akiwa ni Louis van GalSasa hapa anakoshaje papuchi!? Kwa kucha hizi
Yote kwa yote, pole mzee, ila ukiwa na moyo huu utakufa mapema,
Kabla kupenda inabidi uwe umepitia stress za kubet miaka mi5, uwe umependa kidhati timu mbovu kama arsenal yangu, man u n.k ukimaliza hapo ndio uingie kwenye mahusiano na sio kupenda, narudia tena UINGIE KWENYE MAHUSIANO NA SIO KUPENDA.
Alikuwa ni muuza supu na uji buzebazeba lkn Tunashukuru Muumba kapata hizi ajira za TRA kwaiyo mikono itakuwa sawaHuo ni mkono wa mwanamke anae uza mkaa
Hapo kapendeza jioni ya jana tu
Nimeshampata DEAR KATUNGEwe jamaa tafuta dem
Nyenyenye!
Sticker ya kukatika au...Jf hamna sticker
😎😎
sasa huu upweke wa nini tena?Nimeshampata DEAR KATUNGE
Kama uliweza kuacha kushabikia Manchester kisa inafanya vibaya kipindi cha van gal basi we hupaswi kupenda, hebu subiri kwanza kijana, stress za mpira zimekushinda ndio utaweza mapenzi weweMm ni shabiki wa Manchester United nilianza kuishabikia mwaka 2005 then nikaacha kuishabikia kipindi kocha akiwa ni Louis van Gal
Niacheni nipende siwezi achwa


Mapenzi naweza kwa sababu nimempata KATUNGE malaika katika umbo la binadamu nafurahia nae maishaKama uliweza kuacha kushabikia Manchester kisa inafanya vibaya kipindi cha van gal basi we hupaswi kupenda, hebu subiri kwanza kijana, stress za mpira zimekushinda ndio utaweza mapenzi wewe![]()
Sio upweke nafurahi kumpata KATUNGEsasa huu upweke wa nini tena?
Seat ya mbeleDear Katunge
You always complain that I never express my love, never tell you how beautiful you are or how important you are to me. So on your birthday, I thought of surprising you by telling you my feelings for you.
My love, you are just not my wife, but my life. The most beautiful part of my life. You are beautiful, in fact, the most beautiful person I know, but that’s not the only reason why I love you. I love you because your heart is as beautiful as you are. So is your personality. Your kind heart and amazing personality make me wonder what I did to deserve you as my wife.
Let me tell you I am madly in love with you and I can’t imagine my life without you in it. You have been my support in my ups and downs. Your strength makes me the strong man I am. So thank you my darling, what you have done for me and your love.
Your loving husband Rango ll

