feedback za nelson mandela

KUITA NINI?
Kuwa muazi broda!...funguka bana!
Halafu habari hii ndiyo NAFASI ZA KAZI NA TENDA?
 
jamani wadau wenye tetesi zozote za nelson mandela atujuze. Wameshaita?
Nafikiri intavyu bado, hapa jamvini naamini washikadau ni wengi tutasikia tu,
tuendelee kumwomba mungu wasije wakatuchakachua kama walivyotufanyia dodoma na st Johns univ.
 
Back
Top Bottom