feedback ya kikao na mkurya

nimejifunza mkuu. ila unajua mimi bado sijaona kosa langu.

Kosa lako ni kujitosa kwenye mahusiano ya watu na kuanza kutoa habari za upande mmoja wakati hujui maisha yao.
 
ure good girl .... pole ila uamuzi wako wa kuama nao ni mzuri pia.......
 
Safi sana! Sasa ktokana na Kuwa umeamua kuhama hapo mahili emu nipm mandhari ya nyumba nihamie Mimi japo nisave ile pesa ya dalali!

nitakupm mkuu, ngoja nimalizie kodi
 
sasa unashukuru umeweka wewe??

picha aweke Excel shukrani upewe wewe? halafu unaitikia kwa nguvu kweli! ahsante mkuu!!!!!
Jodoki Kalimilo hiyo picha haijawekwa na LILENDI bwana wala asijipe kichwa!

mkuu vipi? umevurugwa nini?
Jodoki Kalimilo kanielekeza maana ya picha waliyosema ni litungu, mi ndo nikikamshukuru. utakuwa una usingizi kwenye vidole au umetoka kwenye game, si bure.
 

Kwa mtazamo wangu hafifu my dear naona huyo bwana yote hiyo ni defensive mechanism.
Sawa inawezekana alilazimishwa kumuoa huyo bibie nae akakukubali ila akaendeleza mapenzi na kipenda roho chake.
Sasa kisa cha kumleta huyo sweet wake kwenye nyumba anayoishi na mkewe ni kipi.
Si angeendelea kuonana nae huko huko alipokuwa anaishi mwanzo.
Huyo bwana si mstaarabu hata kidogo na kit.o.m.b.I tu hana lolote
Narejea kauli ya The Boss ukimuendekeza huyo utakuwa mke wa tatu.
Na kama anajua mkewe anajua mkanda mzima anaogopa nini mpaka akuombe ubadilishe story. Anakutega huyo asije akakubadilishia kibao kwa mkewe kuwa ulikuwa unamtaka ndio maana ukataka kuwagombanisha...

HALAFU WANAWAKE WENGINE??
mie huyo kimada anayekaa kwenye nyumba ya mwenzie bila aibu simuelewi hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
ukiwa mjini hivi huwezi kujua hali ilvyo huko ukuryani yaani unaambiwa huko mwanamke asiye tahiriwa si mtu na wanadai anatengwa kabisa.
NIULIZE MIMI NILIYEZALIWA HUKO KUKULIA HUKO SHULE HUKO KAZI KWINGINE HATA KURUDI TU SITAKI WALE WASIOFANYIWA FGM HAWATHAMINIWI TENA NIMEKULIA NA KUSOMEA INTERIOR UKITAKA ZAID NITUMIE PM NIKUPE FULL DATA MPAKA PICHA UKITAKA NINAZO!!!!!!!!!:A S 2152:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…