Feedback: Nahisi naibiwa

Feedback: Nahisi naibiwa

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,300
Wakuu habari,

Mtakumbuka wiki mbili za nyuma, nilikuja hapa jamvini, na kusema kuwa kuna kuna binti ninambea naye, sasa siku moja nikamgegeda, bao mbili zote nilitumia kinga, bao la tatu sikutumia kinga, mimi nikajua kuwa ni dhaifu, so aliwezi kuleta madhara, japo huyu binti aliniambia mapema kuwa nipo siku za hatari.

Akaniambia kuwa sasa haoni siku zake, nikaja hapa jamvini kuomba ushauri, mkanishauri kuwa nimwambie kuwa aje kwangu niende naye mgu kwa mguu akapime kama anaujauzito au la?, kweli nikafanya hivyo kwa kumwambia, akawa anazungusha, cha ajabu, jana akaniambia kuwa amezziona siku zake. So nikahisi kuwa ananidanganya au alikuwa anataka pesa tu nimpe akajifanye anaitoa. Kwa sasa wadau mambo yanaendelea vizuri,

Asanteni wote mlionishauri
 
Siku nyingine mwambie hizo siku azihifadhi ambapo hatasumbuka kuzitafuta.
 
Hayo yapo sana, isikusumbue mkuu, hesabu kuwa ni funzo katika maisha:-!
 
Kumbuka kuwa hakuna bao dhaifu mabao yote yana nguvu na yanaumiza sana tu, labda kama utapigwa bao na mtoto tu hapo sawa litakua dhaifu, na hautaumia uso.
 
Hahahaha hapa really u made my day.
 
Wakuu habari,

Mtakumbuka wiki mbili za nyuma, nilikuja hapa jamvini, na kusema kuwa kuna kuna binti ninambea naye, sasa siku moja nikamgegeda, bao mbili zote nilitumia kinga, bao la tatu sikutumia kinga, mimi nikajua kuwa ni dhaifu, so aliwezi kuleta madhara, japo huyu binti aliniambia mapema kuwa nipo siku za hatari.

Akaniambia kuwa sasa haoni siku zake, nikaja hapa jamvini kuomba ushauri, mkanishauri kuwa nimwambie kuwa aje kwangu niende naye mgu kwa mguu akapime kama anaujauzito au la?, kweli nikafanya hivyo kwa kumwambia, akawa anazungusha, cha ajabu, jana akaniambia kuwa amezziona siku zake. So nikahisi kuwa ananidanganya au alikuwa anataka pesa tu nimpe akajifanye anaitoa. Kwa sasa wadau mambo yanaendelea vizuri,

Asanteni wote mlionishauri

Last edited by a moderator:
Jifunze kutumia condom

Hakuna bao dhaifu unless uwe hauna kabisa manii
 
Kumbuka kuwa hakuna bao dhaifu mabao yote yana nguvu na yanaumiza sana tu, labda kama utapigwa bao na mtoto tu hapo sawa litakua dhaifu, na hautaumia uso.
Hahahaha ha ha. Jf burudani sana.
 
Pamoja na kudanganywa, bado unasema mambo yanaenda vizuri?

Kazi unayo kichwani mwako.
 
Jamani hivi UKIMWI umeisha jamani?
 
kuwa makini mkuuu Ukimwi upo
tumia kinga,baki na mpenzi mmoja AU ACHA KABISA!
 
Back
Top Bottom