Feedback mpango wa kuwasafirisha walimu bure

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,522
24,010
Nimejaribu kufatilia sana suala hili walimu wengi wanasema hawajapata vitambulisho hivyo na hawajui vinapatokana wapi. labda sasa wadau ambao mnafaham suala hili mtuambie limefikia wapi. lakini pia je utaratibu huu upo pia kwa mabasi ya mwendo wa wastani? yaaani DART? Maana huko nadhan ndo ingekuwa rahisi zaidi ikiwa na serikali nayo ina mkono katika mabasi hayo.

tujulishane vitambulisho vinapatikana wapi maana nami sasa nataka niache kazi ninayofnya niende kuwa mwalimu shule moja ya msingi huko kinondoni ili niwe napanda bure haya mabasi maana nauli ishaanza kuwa shida nayo.
 
Kama kweli wako siriaz dart ingekua mfano mzuri wa kuwapandisha walimu buure
 
Back
Top Bottom