Feedback kutoka arabuni...

Feedback kutoka arabuni...

Kama ilivyo kwa Wahindi, Waarabu ni wabaguzi sana kwa weusi hapa Tanzania.JE huko kwao si ndio balaa zaidi.
Ringtone,

Tupe ushahidi wa ubaguzi wa waarabu hapa Bongo. Kisha tupe ushahidi wa huko Uarabuni.
 
Last edited by a moderator:
ahsante Averoes kwa ufafanuzi mzuri. vipi gharama za maisha lakini. kwa mfanyakazi anaepokea tsh 200000 huko uarabuni anaweza kumudu maisha kama anajitegemea mwenyewe?
Husninyo,

Hapana ni ngumu sana wala usijaribu, kama una hela za kuweza kusafiri kwenda kutafuta kazi ya mshahara huo Arabuni bora ukakodi shamba mikoani uzalishe mboga mboga au mpunga utaishi vizuri tu.

Arabuni sio kwahala kwa kukaa hao walioko huko ambao wanajitegeme wenyewe wanakula ngumu.
 
Last edited by a moderator:
Manahodha wa mashua kwanini wakae nyuma?

Duuh! Maalim,mbona watuletea lugha za vitisho na kutufanzia maperesha wanzio!?

Walikumbuka lile shairi la Serenge na mlejileji!? Teeh! Teeh!

Ahsanta sana.
 
Back
Top Bottom