Feedback; Is it real

Feedback; Is it real

Bora umelitambua mapema..social netwrk is'nt a ryt plc to get sum1 akili yko inabid ichezeshe mahesabu fasta othrws unabak kujuta,imeshanitokea yan cna ham ya kumkubal mwanaume kwny netwrks tn nilibak kujuta na kulia..too late!

redloz ikawa blackroz
 
eeeh,kumbe wanaume wa jf ndivyo walivyo?ahsante kwa taarifa
 
Mi nlipitia tu sredi ile....nlishangaa kweli ulivonijibu ati hata video calls hamjawahi fanya.
Nyani Ngabu raisi wa wabeba maboksi embu enlighten us, memba wako gani anaweza akawa mhusika wa tukio hili??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom