Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,039
Mi nlipitia tu sredi ile....nlishangaa kweli ulivonijibu ati hata video calls hamjawahi fanya.
Nyani Ngabu raisi wa wabeba maboksi embu enlighten us, memba wako gani anaweza akawa mhusika wa tukio hili??
Unajua jana niliruka kimanga na kukana katakata lakini leo nimekuwa na change of mind/ heart.
Nadhani ni mimi aisee. Damn me...I'm a serial heartbreaker.:smile-big:
Kama sio mimi basi atakuwa lieutenant wangu mmoja hivi naye huwa ni mtata sana....kwa sasa sitamtaja lakini.