Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,841
Kumbe huvumi lkn unajitahidi
na ndo mana sijaibiwa akili
Kumbe huvumi lkn unajitahidi
hata mie namfahamu vzr tu...
karud mwez wa 4 tena
Bado hajarudi lol...
hehehe hivi eeh!
hehehe hivi eeh!
kuna ulazima gani wa kuchanganya Lugha, mara kisw mara english...punguza sifa kidogo.
Ha ha ha uuuh umbea umenishika ngoja ninywe maji maneno yarudi kifuani
Basi ww umekutana na mwingine
Kazi kwelikweli niliyajua haya mamii, hope hujatoa mwili wako eeeh!!!
Naupendaje huo wimbo Same script different casts - Whitney Houston ft Debora Cox.
Mmmh huyo shemeji nishamjua, ana mashauzi flani hivi....
utawajua wapi best nawe unakaa ndani tu kama utumbo....Mtaani kwetu sio wote tunajuana ila humu mmetia fora..!!
Hongera
Acha tu nkupm kwakweli kifua kinauma kimejaa maneno....lol. nipm kdg
Pole, wengine mna mioyo ya plastic jameni duh....Bora umelitambua mapema..social netwrk is'nt a ryt plc to get sum1 akili yko inabid ichezeshe mahesabu fasta othrws unabak kujuta,imeshanitokea yan cna ham ya kumkubal mwanaume kwny netwrks tn nilibak kujuta na kulia..too late!
too soon n good huh!!
natamani kumfahamu huyo mtu