Feedback: Ebay online purchase item received

Hiyo ni gharama ya mzigo au ni gharama ya usafirishaji?
 
Mkuu nipe maunjanja ya kuandika address. S. L. P ninalo. Nitumie S. L. P au physical address?

Polisi mtata
Company name
P.o Box 1022
Zanzibar..
Tanzania
+2557.............
Kama hivo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nipe maunjanja ya kuandika address. S. L. P ninalo. Nitumie S. L. P au physical address?
Tumia huu mfano
  • Ujazaji

  • Baada ya ku_Save itatokea hivi

​

  • Hope, Nimejibu swali lako
 
  • Ni direct kwa kutumia kadi yako ya Benk e.g VISA au MASTERCARD
  • System yao iko salama
KARBU

Mkuu kwa mfano mi nina kadi ya crdb visa sasa sijaelewa visa ya aina gani mkuu...naomba unielimishe mkuu
 
Attachments

  • 1415893390869.jpg
    109.7 KB · Views: 112
Mkuu kwa mfano mi nina kadi ya crdb visa sasa sijaelewa visa ya aina gani mkuu...naomba unielimishe mkuu
  • Ndio hiyo uliyonayo
  • Je kadi yako imeshafunguliwa ili kufanya online transaction
  • Kama bado nenda tawi la CRDB lililokaribu nawe omba fomu husika na kuzijaza ili kadi yako iweze kutumika kufanya malipo online
 
Asante mkuu,hivi sehemu ya kujaza zip code,post code au naomba unipe ujuzi namna ya kujaza information mkuu
 
hvy naskia crdb wanakata elf 30 kujiunga na internet banking. je ni kweli

hvy mizigo inaweza kufika mikoani salama

hvy hakuna wizi
 
hvy naskia crdb wanakata elf 30 kujiunga na internet banking. je ni kweli

hvy mizigo inaweza kufika mikoani salama

hvy hakuna wizi

  1. Hakuna ghalama yeyote ya kujiunga na Internet banking & Online purchase
  2. Mzigo unafika mahala popote ulipo tanzania ili mladi kuwe na huduma ya Posta
  3. Swala la wizi lipo na hakuna
Kwa nini lipo swala la wizi
  • Iwapo tu utatoa toa ovyo taarifa zako za kibenki kwa site/ online sellers ambao ni wezi/ scammers hapo lazima uibiwe.
  • Na iwapo tu hutochukua tahadhali hata pindi ufanyavyo malipo kwa masoko yaliyo salama kama ebay
Kwa nini hakuna swala la wizi
  • Iwapo utazingatia vigezo vyote vya kufanya malipo
  • Mfano:- Jaza taarifa za kibenki kwa site/masoko ya kuaminika kama amazo, paypal
  • Kuto kufanya malipo kwa sellers kwa njia ya pembeni mfano seller unakutana naye ebay, anakushawishi na kukwambia fanya malipo kwa western union na si kwa njia ya paypal
Hivyo wewe binafsi ndio waweza kuwa chanzo cha kuibiwa au kutoibiwa
  • Kalibu kila wiki (/ kama si kila siku) nafanya online transaction na sijawahi ibiwa
 
Amazon wanakukata moja kwa moja from your card. wakati unanunua kitu kuna hata ya kuingiza namba zako za card ya benki hapo ndipo unapokatwa.
Tofauti na ebay ambao wana paypal.

Vipi kuhusu usalama wa Fedha iwapo mzigo haujafika au Mzigo ulio wasilishwa una Mapungufu
 
Vipi kuhusu usalama wa Fedha iwapo mzigo haujafika au Mzigo ulio wasilishwa una Mapungufu
Mimi huwa natumia sana ebay.
Nilishakutana na case kama hiyo ya mzigo kuwa na mapungufu.
ebay wana return policy ambayo inamlinda mnunuzi.
Mfano unapopokea mzigo wenye mapungufu au tofauti na ulivyotangazwa unatoa taarifa ebay, then utalazimika kuurudisha mzigo kwa muuzaji.
Then unapewa refund yako baada ya mzigo kurudi kwa muuzaji.
Kadhalika endapo hutopokea mzigo kuna kitufe maalumu unaclick kumjulisha seller na ebay kuwa mzigo hujaupokea then kinachofuatia ni wewe kurudishiwa pesa zako.

Kwakifupi wenzetu ni waaminifu sana kwenye biashara hizi za mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…