samahani mkuu,ulivyoorder amazon nani alichagua courier?na imekugharimu kisai gani kwenye usafirishaji wa hiyo tab kama uliiagiza peke yake?Penda kutumia amazon, iko salama zaidi kuliko ebay na lazima umzigo wako ukufikie
Penda kutumia amazon, iko salama zaidi kuliko ebay na lazima umzigo wako ukufikie
Mimi naona tablet yangu imepotea. Niliagiza toka marekani 11/10/2011 ni nikaandika jina langu sehemu ninayokaa, mkoa, nchi na namba ya simu. hadi Leo kimyaaaa. Walisema wameship kwa USPS
Mzigo Wa kwanza nilitumia S . L. P nikaupata
Hi.. nawalete feedback..
Baada ya kuplace order on 29/10/2014 the item was shipped on 30/10/2014... then ikawa fowarded to international logistic company on 4/11/2014 then leo nimetrack nikaambiwa parcel ipo Tz tena Zenji nimeenda posta nimekuta karatasi then nimechukua mzigo wangu...
Ni saa hii hapa...