Fedha za mizigo!!

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
JAMANI NAULIZA HIVI WALIMU WAPYA WANAORIPOTI WANAPEWA FEDHA ZA MIZIGO? Halafu ni shingapi kwa kiasigani? Plz jibu!!
 
Wanapewa,kama bachelor utalipiwa mizigo isiyopungua tani 1na nusu,na kuisafirisha kila tani kutoka pale ilipotoka buku 5.
 
Wanapewa,kama bachelor utalipiwa mizigo isiyopungua tani 1na nusu,na kuisafirisha kila tani kutoka pale ilipotoka buku 5.
i beg to differ! Hapa Arusha meru wanalipa kwa kila kilometa buku moja frm ulikotokea kwa m2 wa shahada! Xa cjui huko ulipo weye buku tano ni kwa wenye masters au??
 
Wenye cheti pesa ya mizigo imefutwa ila malipo yake ilikuwa km/ulizosafiri zidisha mara sh.1000/km zidisha mara Tani 1.5 mfano umetoka dodoma mpaka dar km 500 ni sawa na 500><1000><1.5=750,000 mi ndio nafahamu hivyo wenye shahada stashahada na kuendelea ni tanni 2.5 mi ndio naelewa hivyo
 
Back
Top Bottom