Fedex hawataki kuutoa mzigo wangu kwa kisingizio cha TRA

Thabit Karim

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
366
645
Habarani ndugu juzi nimeagiza mzigo kutoka nje ya nchi umekuja kwa Fedex umefika Dar jamaa wanakomaa na kodi wakati mzigo una thamani ya 43USD na ndicho kilichoandikwa katika mzigo.

Wamenipigia simu wanahitaji kodi na mambo ya clearance km laki mbili hivi.

Mwaka juzi niliagiza na DHL waliniambia kitu km hiki lkn baada ya kuwaambia na kuona mzigo ni chini ya 50USD waliuachia mzigo na nikaupata FREE. Fedex wamekomaa

Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu
 
Habarani ndugu juzi nimeagiza mzigo kutoka nje ya nchi umekuja kwa Fedex umefika Dar jamaa wanakomaa na kodi wakati mzigo una thamani ya 43USD na ndicho kilichoandikwa katika mzigo. Wamenipigia simu wanahitaji kodi na mambo ya clearance km laki mbili hivi. Mwaka juzi niliagiza na DHL waliniambia kitu km hiki lkn baada ya kuwaambia na kuona mzigo ni chini ya 50USD waliuachia mzigo na nikaupata FREE. Fedex wamekomaa

Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu
Duh hatari sana
 
Habarani ndugu juzi nimeagiza mzigo kutoka nje ya nchi umekuja kwa Fedex umefika Dar jamaa wanakomaa na kodi wakati mzigo una thamani ya 43USD na ndicho kilichoandikwa katika mzigo.

Wamenipigia simu wanahitaji kodi na mambo ya clearance km laki mbili hivi.

Mwaka juzi niliagiza na DHL waliniambia kitu km hiki lkn baada ya kuwaambia na kuona mzigo ni chini ya 50USD waliuachia mzigo na nikaupata FREE. Fedex wamekomaa

Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu
Mwl.RCT
 
Nakushauri waone TRA kama ni hapo Airport utoe free mzigo wako hapo hakuna kodi kwa thamani ya mzigo huo
 
Back
Top Bottom