hahaha! Ndo unanipiga teke hivi! Hivi!! He he eti nini?
Hayo macho na hilo pozi tobaaa! nimeshaibiwa jamani!
punguza basi hata kidogo angalia chini bhana!
hehehe! Mtoto wa kizungu wewe!nywele hizo mashallah!! hapo M.E.M.A kafikaaa!! Ukimwambia nifate.. Huyo bila kuuliza! Ukimwambia simama,kaa yani bila kipingamizi!!
bado kimoja!!
haha akuu siyo hikoo!
Usiogope my sweetpotato. Namsifia tu..ki ukweli ni mzurii.
Umenimwagia maji.??
Aliesema kuwa aanatangaza talaka ni nani?
Yangu pua mie! mbona mimi hujawahi nisifia?
Jamani you are so beautiful..my love. Yaani kichwa chako ni kama chui awindae..mwendo wako ni kama wa paa. Tabasam lako ni kama jua lichomozapo mashariki asubuhi tulivu. Mng'ao wa uso wako ni kama mbalamwezi.
Wewe apoo...
Kwani mnafanya nini...?:what: