Feb 28 !!!!

Haya jirani nipe matokeo. Kama mazuri kesho tupongezane bhana.

haha! Wanazingua ujue!! Maneno miingi hamna kitu bana bado danadana! Yakiwa vizuri tutaenda escape kabisa kunywa govinder kumar!!
 
Yako fresh bana. Nna uhakika. Tatizo ndo hivo, mkoa kwa sana afu ndanindani ile mbaya. Karibu mbuzi choma fyatanga hapa.
 
mmmh ntakomaje loh! Haha mbuzi mduchu hivyo mi nataka ng'ombe!!
 
hahaha! Duu! Ni kwamba watu wanakula magazeti ama?

Hakuna anayekula gazeti, ila hilo gazeti linamilikiwa na chama cha mapinduzi na huku chama tawala ni chadema. So you can imagine halina wasomaji kabisa.

Mzima wewe?
 
hahaha! Nimependa hapo mapinduzi na tawala!! Btw-miye niko pooaa kabisaaa!! Za wikend??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…