Feb 28 !!!!

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
8,084
Reaction score
4,365
Inasemekana wote waliozaliwa siku kama ya leo Feb 28 eti mwisho wao march 31 haya nyie mnaosheherekea bday zenu leo mtubu dhambi zenu na kugawa urithi mapemaaa !Msijesema sijawaambia!! Btw...mjitokeze tuwape hongera zenu kwa kuzaliwa mwezi wa pekee!!
 

Jirani vipi leo mbona umewahi sana kudamka?

Umesoma gazeti la Uhuru la jana? Neema imefunguliwa kama ulikuwa hujui.
 
Mimi nimezaliwa Feb 29 itakua hainiuhusu hiyo
 
Feb ukitoa miezi tisa itakua mwezi gani?
 
Jirani vipi leo mbona umewahi sana kudamka?

Umesoma gazeti la Uhuru la jana? Neema imefunguliwa kama ulikuwa hujui.

hahaha!dah jirani nilikuwa zamu kulinda ! Usinambie em ngoja nilisake mana nshasusa miye!!
 
Nawapeni hepi besdei wote mliozaliwa siku kama ya leo.

The question is vipi kuhusu waliozaliwa tarehe 29 Feb?
 
Jirani vipi leo mbona umewahi sana kudamka?

Umesoma gazeti la Uhuru la jana? Neema imefunguliwa kama ulikuwa hujui.

BTW hilo gazeti bado lina-exist? Huku chugga ukilitaka mpaka uende Museum, afu utapata la 1995.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…