FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
View attachment 653671
Iniesta Maestro ,fundi,ball controller ,mpiga pasi ,bingwa wa World cup na Euro mfunga mabao muhimu,mchezaji ambaye baada ya Ronaldinho kupata standing ovation Bernabeu yeye anafuata ,the most renowned player in Spain anaheshimika na kila mtu hadi mitaa ya Castilla,mchezaji ambaye ni icon ya Spain na Barca,mchezaji ambaye tangu ulimwengu wa mikataba ya mpira umeanza yeye amevunja record kwa kupewa mkataba wa kudumu..niendelee kutaja sifa?mchezaji ambaye amekua mchezaji bora kwenye fainali za UEFA,World cup,Euro a.k.a Architect
AMEPEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA TEAM YA TAIFA SPAIN Hallelujah
Yuko fit kwa sasa. Safi sanaView attachment 653743
Rav Rafinha Alcantara ameshapata medical clearance huyu jamaa ni hero nakumbuka hii ni injury ya tatu ndani ya season mbili nakumbuka ile ya kwanza mguu kwenye ankle joint ulivunjika kabisa....!!
Kama unakumbuka shida ya left &right flank tunayoipata bila injury ya huyu jamaa angekua ana offer atleast 60% ya vitu vya Neymar cos yeye na Arda ndio walikua substitute wakeYuko fit kwa sasa. Safi sana
Tumwombee Asipate majeruhi tena.Kama unakumbuka shida ya left &right flank tunayoipata bila injury ya huyu jamaa angekua ana offer atleast 60% ya vitu vya Neymar cos yeye na Arda ndio walikua substitute wake
Nakumbuka msimu wa mwaka jana aliuanza vizuri akawa ametupia kama goli 5 hivi
Me nitaongoza hayo maombezi injuries zimemuharibia sana career yake mfano kipindi hiki Barca ina suffer ungekua ndio muda wa yeye kuonyesha kipaji na kuwa tegemeziTumwombee Asipate majeruhi tena.
Kabisa Mkuu. Pa1 tupo kwenye maombiMe nitaongoza hayo maombezi injuries zimemuharibia sana career yake mfano kipindi hiki Barca ina suffer ungekua ndio muda wa yeye kuonyesha kipaji na kuwa tegemezi
poa niajedembele vipi?
Hahaaa wejamaa kichaa khaaaapoa niaje
Sema nn shidaBarcadogs