Ni kweli kabisa Mkuu. Hatokuja kutokea mwngine kama king Messi10. Kama jinsi ambavyo mpaka Leo hakuna Wanasayansi wenye uwezo mkubwa kama akina Albert Einstein, Nikola Tesla, etc. "Messi10 is the Albert Einstein of football".
Wadau nmekuwa nkicheck mech za barca tuseme tu ukwel kipa wetu ter stergen yupo vzur amekuwa akichomoa michomo ya hatar, sure yupo vizur jana tu kapiga Kaz nzur sana
Wadau nmekuwa nkicheck mech za barca tuseme tu ukwel kipa wetu ter stergen yupo vzur amekuwa akichomoa michomo ya hatar, sure yupo vizur jana tu kapiga Kaz nzur sana
Barcelona wanakaribia kukumilisha mpango wa kumsaini mlinzi wa Palmeiras raia wa Colombia Yerry Mina, 23, ambaye anaonekana kuwa atachukua mahala pake Javier Mascherano, 33. (AS)