Tuna timu nzuri ila mimi kiukweli kwa navoona tuna ubovu wa upande wa kushoto hatuna winga ambae yuko vizuri, Suarez mara nyingi anakuja kusaidia kushoto uku na hana skills sana za kupunguza mabeki na pia hatutengenezi nafasi kabisa mana magoli tunayofunga ni juhudi za Messi tu. Kama match na Juventus sijaona nafasi za wazi zikitengenezwa zaidi ya magoli tu ya juhudi ya Messi. Tukicheza na timu nzuri ndo tutaona weakness zetu.