Mpira umeisha. 3-2. El classico ya pili tunawapiga hawa jamaa mwaka huu. Bado 3. Mbili za supercup na moha ya 21 december. Hawawezi kucheza nasisis, hawajaiona, nyota ya kijani ya uzazi wa mpango, zunduka.
Natazama clip za youtube,Barcelona is about attack,chances galore tulizopata leo ni positive sign kwamba huyu coach hakuja ku defend.Hiyo defence itaji sort yenyewe we want to see attack attack-so far so good