acha kae benchi wamepita watu wenye mapenzi ya kweli barca kama gaucho,deco na wengine wengi si bora figo alihama barca kwenda madrid sio huyu mpuuzi kwenda league 1 anafikiri huko atapata ballon d'or
Jamani nafaidi peke yangu game?tumeshashinda goal 2 hadi dk ya 05' njoo muone jamani Madrid maji wanaita "mma" mpira wanaonekana wakati wanapiga diffraction tu
Dk ya 08 possession Barca 90% Madrid 10%
Kocha RB kakosea angewekwa Semedo leo ili awe exposed udhaifu wa Aleix Vidal kwenye ku defend unaonekana na amesababisha kufungwa
Ansensio 36 ' goal....!!